Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 11:20-21

Marko 11:20-21 BHN

Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi. Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”