Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 11:20-21

Marko 11:20-21 NENO

Kesho yake asubuhi walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake. Petro akakumbuka na kumwambia Yesu, “Rabi, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!”