Marko 11:20-21
Marko 11:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi. Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”
Shirikisha
Soma Marko 11Marko 11:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na asubuhi walipokuwa wakipita, waliuona ule mtini umenyauka toka shinani. Petro akakumbuka habari yake, akamwambia, Rabi, tazama, mtini ulioulaani umenyauka.
Shirikisha
Soma Marko 11