Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 4:2-4

Mathayo 4:2-4 BHN

Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa. Basi, mshawishi akamjia, akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu.’”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 4:2-4