Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 72:10-14

Zaburi 72:10-14 SRUV

Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa. Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie. Kwa maana atamkomboa mhitaji aliapo, Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi. Atawahurumia wanyonge na maskini, Na nafsi za wahitaji ataziokoa. Atawakomboa kutoka kwa maonevu na udhalimu, Maana damu yao ina thamani machoni pake.

Soma Zaburi 72