Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 72:10-14

Zab 72:10-14 SUV

Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa. Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie. Kwa maana atamkomboa mhitaji aliapo, Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi. Atamhurumia aliye dhaifu na maskini, Na nafsi za wahitaji ataziokoa. Atawakomboa nafsi zao na kuonewa na udhalimu, Na damu yao ina thamani machoni pake.

Soma Zab 72