Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:75-77

Zaburi 119:75-77 SRUV

Najua ya kuwa hukumu zako ni za haki, Ee BWANA, na kwa uaminifu umenitesa. Nakuomba, fadhili zako ziwe faraja kwangu, Kulingana na ahadi yako kwa mtumishi wako. Rehema zako zinijie nipate kuishi, Maana sheria yako ni furaha yangu.

Soma Zaburi 119

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 119:75-77

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha