Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:73-74

Zaburi 119:73-74 SRUV

Mikono yako iliniumba na kunidhibiti, Unifahamishe nikajifunze amri zako. Wakuchao na wanione na kufurahi, Kwa sababu nimelitumainia neno lako.

Soma Zaburi 119