Zaburi 119:73-74
Zaburi 119:73-74 Biblia Habari Njema (BHN)
Mikono yako iliniumba na kuniunda; unijalie akili nijifunze amri zako. Wakuchao wataniona na kufurahi, maana tumaini langu liko katika neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:73-74 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mikono yako iliniumba na kunidhibiti, Unifahamishe nikajifunze amri zako. Wakuchao na wanione na kufurahi, Kwa sababu nimelitumainia neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119