Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:73-74

Zaburi 119:73-74 NENO

Mikono yako iliniumba na kunitengeneza, nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. Wale wanaokucha na wafurahie wanaponiona, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika neno lako.