Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 29:21-22

Mithali 29:21-22 SRUV

Amwendekezaye mtumwa wake tangu utoto, Mwisho wake atakuwa ni mwanawe. Mtu wa hasira huchochea ugomvi; Na mtu mwenye ghadhabu huasi sana.

Soma Mithali 29