Methali 29:21-22
Methali 29:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Ambembelezaye mtumwa wake tangu utoto, mwishowe mtumwa huyo atamrithi. Mwenye ghadhabu huchochea ugomvi, mtu wa hasira husababisha makosa mengi.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amwendekezaye mtumwa wake tangu utoto, Mwisho wake atakuwa ni mwanawe. Mtu wa hasira huchochea ugomvi; Na mtu mwenye ghadhabu huasi sana.
Shirikisha
Soma Methali 29