Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:5-6

Mithali 14:5-6 SRUV

Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo. Mwenye dharau hutafuta hekima, asiipate; Bali maarifa huwa mepesi kwa mwenye ufahamu.

Soma Mithali 14