Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 15:1-3

Ayubu 15:1-3 SRUV

Ndipo Elifazi, Mtemani, akajibu, na kusema, Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki? Je! Ahoji na mazungumzo yasiyo na faida, Au kwa maneno ambayo hawezi kufanya mema kwayo?

Soma Ayubu 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 15:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha