Ayubu 15:1-3
Ayubu 15:1-3 SRUV
Ndipo Elifazi, Mtemani, akajibu, na kusema, Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki? Je! Ahoji na mazungumzo yasiyo na faida, Au kwa maneno ambayo hawezi kufanya mema kwayo?