Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 15:1-3

Ayubu 15:1-3 NENO

Kisha Elifazi Mtemani akajibu: “Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? Je, aweza kubishana kwa maneno yasiyofaa, kwa hotuba zisizo na maana?