2 Wakorintho 13:5-6
2 Wakorintho 13:5-6 SRUV
Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa. Lakini natumaini kama mtajua ya kuwa sisi hatukukataliwa.


