2 Wakorintho 13:5-6
2 Wakorintho 13:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Jichunguzeni nyinyi wenyewe mpate kujua kama kweli mnayo imani. Jichunguzeni nyinyi wenyewe. Je, hamjui kwamba Kristo Yesu yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi nyinyi mmeshindwa. Lakini natumaini kwamba nyinyi mnajua kuwa sisi hatukushindwa.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa. Lakini natumaini kama mtajua ya kuwa sisi hatukukataliwa.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jijaribuni wenyewe kwamba mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa mmekataliwa. Lakini natumaini kama mtajua ya kuwa sisi hatukukataliwa.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 13