Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 13:5-6

2 Wakorintho 13:5-6 NENO

Jichunguzeni wenyewe mwone kama mnaishi katika imani. Jipimeni wenyewe. Je, hamtambui ya kuwa Yesu Kristo yu ndani yenu? Kama sivyo, basi, mmeshindwa kufikia kipimo hicho! Natumaini mtaona kuwa sisi hatukushindwa.