Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 12:8-9

Rum 12:8-9 SUV

mwenye kuonya, katika kuonya kwake; mwenye kukirimu, kwa moyo mweupe; mwenye kusimamia kwa bidii mwenye kurehemu, kwa furaha. Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkiambatana na lililo jema.

Soma Rum 12

Video ya Rum 12:8-9