Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 73:21-23

Zab 73:21-23 SUV

Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma, Nalikuwa kama mjinga, sijui neno; Nalikuwa kama mnyama tu mbele zako. Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kuume.

Soma Zab 73