Zaburi 73:21-23
Zaburi 73:21-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni, nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako. Hata hivyo niko daima nawe, ee Mungu! Wanishika mkono na kunitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:21-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma, Nilikuwa kama mjinga, sijui neno; Nilikuwa kama mnyama tu mbele zako. Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kulia.
Shirikisha
Soma Zaburi 73