Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 37:8-9

Zab 37:8-9 SUV

Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya. Maana watenda mabaya wataharibiwa, Bali wamngojao BWANA ndio watakaoirithi nchi.