Zaburi 37:8-9
Zaburi 37:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Epuka hasira wala usiwe na ghadhabu; usihangaike maana hiyo huzidisha ubaya. Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya. Maana watenda mabaya watakatiliwa mbali, Bali wamngojao BWANA ndio watakaoirithi nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 37