Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 36:6-7

Zab 36:6-7 SUV

Haki yako ni kama milima ya Mungu, Hukumu zako ni vilindi vikuu, Ee BWANA, unawaokoa wanadamu na wanyama. Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako! Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.

Soma Zab 36