Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 36:6-7

Zaburi 36:6-7 NENO

Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee BWANA, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama. Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mabawa yako.