Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 3:3-7

Zab 3:3-7 SUV

Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu. Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu. Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka, Kwa kuwa BWANA ananitegemeza. Sitayaogopa makumi elfu ya watu, Waliojipanga juu yangu pande zote. BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.

Soma Zab 3

Picha za Aya za Zab 3:3-7

Zab 3:3-7 - Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote,
Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Kwa sauti yangu namwita BWANA
Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka,
Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
Sitayaogopa makumi elfu ya watu,
Waliojipanga juu yangu pande zote.
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe,
Maana umewapiga taya adui zangu wote;
Umewavunja meno wasio haki.Zab 3:3-7 - Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote,
Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Kwa sauti yangu namwita BWANA
Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka,
Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
Sitayaogopa makumi elfu ya watu,
Waliojipanga juu yangu pande zote.
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe,
Maana umewapiga taya adui zangu wote;
Umewavunja meno wasio haki.Zab 3:3-7 - Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote,
Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Kwa sauti yangu namwita BWANA
Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka,
Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
Sitayaogopa makumi elfu ya watu,
Waliojipanga juu yangu pande zote.
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe,
Maana umewapiga taya adui zangu wote;
Umewavunja meno wasio haki.