Zab 20:1-2
Zab 20:1-2 SUV
BWANA akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue. Akupelekee msaada toka patakatifu pake, Na kukutegemeza toka Sayuni.