Zaburi 20:1-2
Zaburi 20:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde. Akupelekee msaada kutoka hekaluni mwake; akutegemeze kutoka mlima Siyoni.
Shirikisha
Soma Zaburi 20Zaburi 20:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue. Akutumie msaada toka patakatifu pake, Na kukutegemeza toka Sayuni.
Shirikisha
Soma Zaburi 20