Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:25-27

Mit 4:25-27 SUV

Macho yako yatazame mbele, Na kope zako zitazame mbele yako sawasawa. Ulisawazishe pito la mguu wako, Na njia zako zote zithibitike; Usigeuke kwa kuume wala kwa kushoto; Ondoa mguu wako maovuni.

Soma Mit 4