Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 2:16-19

Mit 2:16-19 SUV

Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake; Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake. Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu. Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja, Wala hawazifikilii njia za uzima.

Soma Mit 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 2:16-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha