Hekima

Siku 12

Maandiko yanatupa changamoto ya kutafuta hekima juu ya yote Katika mpango huu, utapata fursa ya kusoma mistari ya Biblia kila siku inayohusiana na Hekima - Ni nini, Kwa nini ni muhimu na jinsi ya kuiendeleza.

Mchapishaji

Tungependa kuwashukuru Immersion Digital, watengenezaji wa Glo Bible, kwa kushirikisha mpango huu uliorekebishwa. Unaweza unda mpango huu kwa urahisi na mipango mingine kwa kutumia Glo Bible. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea www.glibible.com

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 250000 wamemaliza