Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 19:6-7

Mit 19:6-7 SUV

Watu wengi watamsihi mkuu ili awafadhili; Na kila mtu ni rafiki yake atoaye tunu. Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka.

Soma Mit 19