Methali 19:6-7
Methali 19:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wengi hujipendekeza kwa wakuu; kila mtu hutaka kuwa rafiki ya mtu mkarimu. Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wengi watamsihi mkuu ili awafadhili; Na kila mtu ni rafiki yake atoaye zawadi. Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka.
Shirikisha
Soma Methali 19