Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 19:6-7

Mithali 19:6-7 NENO

Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, rafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote.