Mit 19:13-14
Mit 19:13-14 SUV
Mwana mpumbavu ni msiba kwa babaye; Na ugomvi wa mke kama kutona-tona daima. Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.