Methali 19:13-14
Methali 19:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtoto mpumbavu ni balaa kwa baba yake; na ugomvi wa mke ni kama matone ya mvua yasiyoisha. Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwana mpumbavu ni msiba kwa babaye; Na ugomvi wa mke kama kudondoka kwa matone daima. Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 19