Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 19:1-2

Mit 19:1-2 SUV

Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotofu wa midomo aliye mpumbavu. Tena si vizuri nafsi ya mtu ikose maarifa; Naye afanyaye haraka kwa miguu hutenda dhambi.

Soma Mit 19