Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 19:1-2

Mithali 19:1-2 NENO

Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, wala kufanya haraka na kuikosa njia.