Methali 19:1-2
Methali 19:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu. Haifai mtu kuwa bila akili; mwenda harakaharaka hujikwaa.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afadhali maskini aendaye katika uadilifu wake, Kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu. Tena si vizuri nafsi ya mtu ikose maarifa; Naye afanyaye haraka kwa miguu hutenda dhambi.
Shirikisha
Soma Methali 19