Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 7:9-11

Mt 7:9-11 SUV

Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka? Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wao wamwombao?

Soma Mt 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 7:9-11