Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 5:2-10

Mt 5:2-10 SUV

akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema, Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi. Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema. Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu. Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Soma Mt 5

Picha ya aya ya Mt 5:2-10

Mt 5:2-10 - akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema,
Heri walio maskini wa roho;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Heri wenye huzuni;
Maana hao watafarijika.
Heri wenye upole;
Maana hao watairithi nchi.
Heri wenye njaa na kiu ya haki;
Maana hao watashibishwa.
Heri wenye rehema;
Maana hao watapata rehema.
Heri wenye moyo safi;
Maana hao watamwona Mungu.
Heri wapatanishi;
Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 5:2-10