Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 4:2-4

Mt 4:2-4 SUV

Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

Soma Mt 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 4:2-4