Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 16:16-17

Mt 16:16-17 SUV

Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Soma Mt 16