Mathayo 16:16-17
Mathayo 16:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” Yesu akasema, “Heri wewe Simoni mwana wa Yona, kwa maana hakuna binadamu yeyote aliyekufunulia jambo hili, ila Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Baryona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 16