Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 3:16-17

2 Tim 3:16-17 SUV

Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

Soma 2 Tim 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 3:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha