Zekaria 13:2
Zekaria 13:2 NENO
“Katika siku hiyo, nitayakatilia mbali majina ya sanamu kutoka nchi, nayo hayatakumbukwa tena,” asema BWANA wa majeshi. “Nitaondoa manabii wao pamoja na roho ya uchafu katika nchi.