Zekaria 13:2
Zekaria 13:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, majina ya vinyago vya miungu nchini nitayaondoa, wala hayatakumbukwa tena. Na wanaojidai kuwa manabii nitawaondolea mbali pamoja na tamaa zao za kuabudu sanamu.
Shirikisha
Soma Zekaria 13Zekaria 13:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema BWANA wa majeshi, nitakatilia mbali majina ya sanamu katika nchi, yasikumbukwe tena; pia nitawafukuza manabii, na roho ya uchafu, watoke katika nchi.
Shirikisha
Soma Zekaria 13