Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 49:16-17

Zaburi 49:16-17 NENO

Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka, kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.