Zaburi 49:16-17
Zaburi 49:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapoongezeka. Maana atakapokufa hatachukua chochote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
Shirikisha
Soma Zaburi 49Zaburi 49:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Usihangaike ukiona mtu anatajirika, wala mali yake ikiongezeka zaidi na zaidi. Maana atakapokufa hatachukua chochote, mali yake haitashuka huko chini pamoja naye.
Shirikisha
Soma Zaburi 49Zaburi 49:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapoongezeka. Maana atakapokufa hatachukua chochote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
Shirikisha
Soma Zaburi 49